Faida 6 za kununua Sofa na bidhaa mbalimbali kutoka Songwe Modern Sofa Furniture Tanzania

1. Kusaidia kuinua uchumi wa ndani, Songwe Modern Sofa furniture inakuwa kwa kuuza sofa sehemu mbalimbali na kupunguza kuingiza bidhaa kutoka nchi zingine.

2. Itaongeza fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Songwe Modern Sofa furniture ina lengo la kuwa na kiwanda cha uzalishaji, tutaitaji vijana kwa ajiri ya kazi kwa manufaa ya wote.

3. Kwenda na wakati. Songwe Modern Sofa furniture in zalisha bidhaa kwa haraka na ni sofa za kisasa, kwa wale watakao weka order bidhaa itazalisha haraka ili kumfanya mteja apate mapema na kwa urahisi.

4. Bidhaa bora na zinazodumu. Songwe Modern Sofa furniture tunajitahidi kumfurahisha mteja kwa kuzalisha bidhaa inayoweza kudumu kwa mda mrefu na inayopendezesha nyumba yako, kila mteja ategemee kupata Sofa imara.

5. Mitindo ya kisasa. Songwe Modern sofa furniture tunaangalia mitindo mipya na ya kisasa inayotofautisha na ile ya zamani.

6. Made in Tanzania. Tumia bidhaa ya mtanzania kwa mafunufaa ya mtanzania, inafika mahali Tanzania tujitegemee.

KARIBU
Songwe Modern Sofa Furniture

Simu +255766797400

Advertisements